Monday 7 May 2012

KUTANA NA LUCCI-MO MGHANA ALIYESAINIWA NA KAMPUNI YA ASAR ENT.YA KITANZANIA


Katika mazingira ambayo si ya kawaida kwenye Swahili hip hop ya kitanzania yani hususan kazi za mikataba iwe ya kufanyakazi au kuwa chini ya lebo au kunasa msanii wa nje ya nchi hasa Afrika Magharibi…, mazingira hayo yamezoeleka sana kwenye soka tu, lakini basi mapinduzi hayo yamefanywa na kampuni ya ASAR ENTERTAINMENT yenye makao yake mwenge, Dar Es Salaam. Asar imefanikiwa kumnasa chipukizi LUCCI-MO kijana mwenye umahiri kwenye miondoko ya hip-hop, Swahili hip hop blog walipata nafasi ya kuhojiana na Lucci kwa njia ya simu katika ofisi za ASAR alisema “yeah I have a contract settled with ASAR ENT. And right now am working on a track with randy`d`dawn an ASAR artist from Swahili land (Bongo) and shortly I will be in Tanzania for couple of days, other info are confidential..ahsante sana”
lucci-mo
Katika mahojiano yaliyofanyika na Swahili Hip Hop Family Club (Team Leader) Moses Adam, kuhusiana na hili swala la kuwasaini wasanii wa nje katika lebo za nchini, huku wakiwa katika nchi zao kama ilivyokuwa kwahuyu chipukizi wa Ghana kupata mkataba wa kazi Tanzania, alisema ” yeye anaona niswala zuri kwamaana lengo la kukuza Kiswahili duniani na kuitangaza Swahili hip hop imefikia sehemu yake na katika hili yeye anaiunga mkono kampuni ya Asar Entertainment na anaiomba iendelee kufanya ivyo ili iweze kutanua matawi ya Swahili hip hop duniani ikiwa kama lengo mojawapo la Swahili hip hop family club”.

Mahojiano yaliendelea katika swali la pili ambalo lilikuwa kuhusu Randy d dawn, swahili hip hop blog ilitaka ufafanuzi zaidi kuhusiana na Randy pamoja na kazi zingine, Mr Adam alitudokezea kuwa “si randy na lucci tu pia tuna miliki kundi la hip hop linaloitwa “ SWAHILI” ambalo linaundwa na hao wasanii wawili tuna mikakati ya kuboresha hilo kundi kwa kumuongezea binti ambaye tutafanya  matukio matatu nchini kwa ajili ya kumpata binti atakaye jiunga na kundi hilo,..kwa hiyo ni mengi yanakuja kutoka kwa Swahili hip hop family club na si kundi tu pia tunajiusisha na nguzo zote za hip hop ikiwemo mashindano ya kusaka vipaji vya sanaa za machata,sanaa za mavunjo na maonyesho ya mavazi ya swahili hip hop tutawapa fulsa wanamitindindo chipukizi waonyeshe uwezo, ustadi na ubunifu wa mavazi  ” bwana Adam aliongezea kuwa wana kauli mbiu ya inasema “let’s keep it swahili” na ktk Swahili hip hop family club, kuna mambo mengi sana ambayo atakuwa anayaongelea kwa vipindi, kwasababu pia wanatoa mafunzo ya vitu mbalimbali kwa vijana na watakuwa wanajitahidi kusaidia jamii, hususani vijana kwa kadri watakavyoweza kama kikundi na kama vijana.

BIOGRAPHY OF LUCCI-MO (Hip/Hip Hop artiste ).
lucci-mo
Hip/Hip Hop artist
Lucci-Mo was born Eric Honu in Tema, 
Ghana on the 19th September 1987,
As second (2nd) of five (5) children, Lucci-Mo was naturally competitive. At the age of 14, while a member of drama and music club of the International Central Gospel Church of Ghana, Lucci-Mo was developing and was swayed by the growing popularity of 90’s hip-hop on the radio as well as a new kind of music that had only then being introduced in the country called hip-life (a blend of the traditional high-life music and hip-hop).
The first MC of significance to be supported by Million Miles Entertainment-affiliated with Bigtymerz Entertainment.
Doing mix tapes and battles across schools and the capital. Lucci-Mo developed his skill and became the hottest kid on the block by the time he went to high school where he was elected as the entertainment prefect due to his impressive stage performances and also representing the school during inter-school musical shows and competitions.
In 2008, as an undergraduate at the regional maritime university (rmu), his affection for music and it craft had grown into a sensational passion and led to the releasing of his first single which did very well and captured the attention and admiration of a large cross section of Ghanaian music lovers and fans. Lucci-Mo has since then worked with and shared the stage with many of the top hip-life and hip-hop artistes in Ghana. He is currently working on his First Album.

9 comments:

Unknown said...

Lucci-Mo is a great artiste and many of us underground rappers look up to him in breaking the ice and making it onto the hip/hop scene in GH...congratulations on going international man. I only wish i cld read all the stuff in Swahili

paa joe said...

hey man, go on do ur thing...

Anonymous said...

That is the man who made music sensational across board, blending the characteristics of the topshots in the industry, both local and foreign with the underground flavour of the hood.
Man, i am proud to be your fan...
Thumbs UP!!!!!

PANDA DEE

Anonymous said...

thas d movement..lucci for real

Anonymous said...

dis nigga is ill..looking fresh

Anonymous said...

tight man..
am rico

Anonymous said...

Hey Lucci my man !! We want u 2 knw that all of us ur former classmates are so so proud of u man. Whether we are from Sweet Liberia, action-pact Nigeria, exciting Cameroon, astonishing Gabon, the mother of Ghana, and what have u, we want u 2 knw that it was a blessing to have spent four years with u in the Regional Maritime University (RMU). We love U Lucci.

Anonymous said...

Hey Lucci big ups to you. This is DD amd my heart felt success to u

Anonymous said...

thanks everybody..am glad y'all checked me out here..i wouldnt have being here without u guys..thanks guys..am so grateful.

lucci-Mo