Hayati mwalimu Julius .k.Nyerere aliwahikusema kipindi cha harakati ya kugombanaia uhuru kuwa elimu ndio ufunguo na msingi wa kila kitu ,nukuu mwalimu alisema
“hakika
vita vya sasa sio vya mashoka wala upindi na mshale …msishangae ndugu zangu
najua mnajiuliza…!! vita vya sasa ni kujikomboa na umaskini na ujinga na
kufanya hivyo hatuna budi tusome ,ELIMU NDIO UFUNGUO WA MAISHA YETU SOTE ”
Maneno hayo yaliozungumzwa miaka 50 iliyopita bado
yanafanyiwa kazi na wasanii wetu wa swahili hip hop.
Wasanii wamekuwa mfano mzuri kwa jamii yetu na
hivyo basi wanasisitiza shikilia ndoto yako ya elimu kwani ndio ufunguo wa kila
kitu, swahili hip hop family club inaorodha ya wasanii tunawita EDU-ENTERTAIN (MANAKE ELIM-BURUDISHA)
hii ndio orodha ya EDU-ENTERTAINMENT:
- Yusufu Migiliche (Y-THANG)- yeye ni Dakatri muhitimu wa muhimbili medical center anatoka KWANZA UNIT
- Khamis Mwinjuma-(F.A)-msanii wa kujitegemea (MWANAFA)-amehitimu IFM (CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA)
F.A |
3. Ilunga(CPWAA)- msanii wa kujitegemea amehitimu IFM (CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA)
CPWAA |
4.Imam
abbas-Director
wa ASAR ENTERTAINMENT amehitimu IFM (CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA)
5.Noorah- anatokea east zoo Dodoma amehitimu IFM (CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA)
6.Moses Mwaipaja a.k.a PAPAYA-coordinator wa Swahili hip hop family club amehitmu BUGEMA UNIVESRTY(UGANDA)
PAPAYA |
7.Niki Wa Pili-Msanii anayetokea kundi la NYEUSI yupo University Of Dar Es Salaam(UDSM)
RADO |
9.FREDDY SAGANDA-msanii wa kujitegemea anayetumia gita amehitimu CHUO CHA SANAA (BAGAMOYO).
ORODHA ITAENDELEA AWAMU IJAYO ENDELEA KUFUATILIA
SWAHILI HIP HOP FAMILY CLUB BLOG(stori na Mtafiti-0688-300081)
No comments:
Post a Comment