swahili hip hop inasemekana kuwa inausiano mzuri na wanasoka wa lgi kuu ya tanzania hivyo basi ni mwanzo mzuri wa mahusiano hayo katika jamii, ni kitu cha faraja sana kwa jamii tunawalinganisha swahili hiphop pioneer na wanasoka
"mi huwa na sikiliza swahili hip hop na msanii ninaye mzimia ni juma nature na imam abbas" alisema athuman idd "chuji".
"duh ukisema kuhusu soka mi huwa namzimia sana amir maftah" alisema professor jay