Monday 16 April 2012

swahili hip hop family club - kutembelea mahabusu ya watoto upanga

tunapenda kuwakaribisha members wetu wote kujumuika nasisi kutembelea gereza la watoto wadogo upanga siku ya alkhamis ya tarehe 19 mwezi huu saa 8
;00 mchana, tukiwa pale tutaweza kufurahi nao katika mambo mbali mbali, kufika kwako ndiyo furaha yao, karibuni sana.

Safari Moja, Sauti Moja........Umoja ni Nguvu.

No comments: