Friday 20 April 2012

Mahabusu ya Watoto Upanga Tour

Shukurani za dhati kwa mtaarishaji wa muziki Lamar kutoka FishCrab Records,Emmanueli Okwi kutoka Simba Sports Club,Amir Maftah kutoka Simba Sports Club na Mejah Mbuya Wachata Crew kuungana nasi katika safari hii, bila kumsahau mkuu wa kituo Mzee.Alex Bwire

Amir maftah full-back wa simba akiwa kwenye mahabusu ya watoto upanga akitabasamu alipoingia watoto walipomshangilia.
membas wa swahili hiphop family club toka kushoto ni Tuja,Faith,Natalia ,Fanueli,Oscar,Randy'D'Dawn wakiwa kwenye mahabusu ya watoto upanga.
.

No comments: