Wednesday 18 April 2012

Kutana na Randy 'D'Dawn na Album inkuja inaitwa"WELCOME'

Randall Seffu a.k.a Randy'D'Dawn ni msanii wa swahilihip hop yupo chini ya lebo ASAR ENTTERTAINMENT. yenye maskani yake mwenge ,kijana huyo anarekodi albmu chini ya studio za ZAKEY RECORDS na mtaarishaji Abdul Zakey zilizopo tabata/ilala, huyu kijana anasoma Kampala University  kilichopo ukonga Dar es salaam, hiyo albmu inajumuisha nyimbo 12 ambayo inaitwa "WELCOME/KARIBU " kaa chojo.....upishi umekamilika karibu albamu inaingia mtaani.

No comments: