Uzinduzi wa Santuri tano za swahili hip hop
Kwa mara ya kwanza wasanii watano katika harakati za kusongesha gurudumu la maendeleo wa swahili hip hop nchini Tanzania chini ya Lebo ya M-LAB wakiwa na tour ya nchi nzima.., kuanzia Tarehe 29 September 2012 wakiwa pande za Mwanza -Mji wa mawe (Rock city) basi kama wewe ni mkazi wa mwanza na msomaji wa swahili hip hop blog siku hiyo jipatie nakala yako ya album tano na tiketi ya onyesho kambambe yenye vionjo na radhi za kiswahili elimika na burudika ...na pia wanaendelea na harakati za kutangaza na uuzaji wa album zao tano nazo ni
1. SOGA ZA MZAWA - ONE THE INCREDIBLE.
2. SAUTI YA JOGOO - NIKKI MBISHI.
3. AFRICAN SON - STEREO.
4. UNDERGROUND LEGENDARY - DUKE.
5. MATHEMATRIX - SONGA & GHETTO AMBASSADOR.
WAKISINDIKIZWA NA WANATAMADUNI WENGINE WENGI KUTOKA TAMADUNIMUZIK..!!
kaa makao wa kula karibu wana wa swahili hip hop watanatia maguu pande zako baada ya MWANZA soma swahili blog kwa mahabari......njooni wote harakati zinaendelea nchi nzima...
No comments:
Post a Comment