Thursday, 3 May 2012

GNL-ZAMBA LUGA-FLOW M.C ALIYEWEKA HISTORIA NA MSOMALI KNAAN


Unaposema hip hop ya east africa uwezi kuacha kumzungumzia mtu anayeitwa GNL ZAMBA ni M.C kutoka Uganda..., basi bila shaka huyu jamaa sio mgeni masikioni mwenu, mnamo 2010 kipindi hicho africa kusini inaweka historia pia kwa bara zima la africa,yani kuwa mwenyeji wa kombe la dunia... basi yeye aliweka historia yake ya kufanya track na knaan mmarekani mwenye asili ya Somalia hivyo basi.., ni uzoefu gani alipata kutoka kwa knaan., nasi tujifunze nini?  hii nyimbo inaitwa “Orchestra” kibao hiko kilicho sheeni utaarishaji wa hali ya juu kilimfanya gnl apagawe na kusikia ushindi faraja moyoni mwake.kwa GNL ilikuwa ni ndoto ya kweli.
GNL-ZAMBA
KNAAN
K’NAAN amekuwa maarufu sana kimataifa na  wimbo wake wa "Waving flag" kipindi cha kombe la dunia.huo wimbo na knaan umempa nguvu ya kutangaza luga-flow nchini Uganda.

“Mikataba ya kueleweka ndio njia pekee ya kuzungusha gurudumu la maendeleo ya hip hop” ndivyo alivyokuwa akisema GNL Zamba. hivyo basi nasi kama we wahangaikaji au we wanaharakati shikilia ndoto yako amini unachokifanya GNL kaamini amefanikiwa hatua moja kwenda nyingine.umuhimu wa kufanay kolabo ni kongeza mashibiki na pia kuborehsa sanaa yako....., wasauzi wanasema "amandraa" na waswahili wanasema "tusonge".
                                

ORODHA YA WASANII WA SWAHILI HIP HOP WENYE ELIMU YA JUU (EDU-ENTERTAIN)(ELIM-BURUDISHA)


Hayati mwalimu Julius .k.Nyerere aliwahikusema kipindi cha harakati ya kugombanaia uhuru kuwa elimu ndio ufunguo na msingi wa kila kitu ,nukuu mwalimu alisema
“hakika vita vya sasa sio vya mashoka wala upindi na mshale …msishangae ndugu zangu najua mnajiuliza…!! vita vya sasa ni kujikomboa na umaskini na ujinga na kufanya hivyo hatuna budi tusome ,ELIMU NDIO UFUNGUO WA MAISHA YETU SOTE  ”
Maneno hayo  yaliozungumzwa miaka 50 iliyopita bado yanafanyiwa kazi na wasanii wetu wa swahili hip hop.
Wasanii wamekuwa mfano mzuri kwa jamii yetu na hivyo basi wanasisitiza shikilia ndoto yako ya elimu kwani ndio ufunguo wa kila kitu, swahili hip hop family club inaorodha ya wasanii tunawita EDU-ENTERTAIN (MANAKE ELIM-BURUDISHA) hii ndio orodha ya EDU-ENTERTAINMENT: 
  
  1.  Yusufu Migiliche (Y-THANG)- yeye ni Dakatri muhitimu wa muhimbili medical center anatoka KWANZA UNIT 
  2.  Khamis Mwinjuma-(F.A)-msanii wa kujitegemea (MWANAFA)-amehitimu IFM (CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA) 
F.A

3. Ilunga(CPWAA)- msanii wa kujitegemea amehitimu IFM (CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA)
CPWAA
4.Imam abbas-Director wa ASAR ENTERTAINMENT  amehitimu IFM (CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA)

 5.Noorah- anatokea east zoo Dodoma amehitimu IFM (CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA)

6.Moses Mwaipaja a.k.a PAPAYA-coordinator wa  Swahili hip hop family club amehitmu BUGEMA UNIVESRTY(UGANDA)

PAPAYA

 7.Niki Wa Pili-Msanii anayetokea kundi la NYEUSI yupo University Of Dar Es Salaam(UDSM)

8. RADO–Msanii anatokea kundi la VIRAKA amehitimu IFM (CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA)
RADO

    9.FREDDY SAGANDA-msanii wa kujitegemea anayetumia gita amehitimu CHUO CHA SANAA (BAGAMOYO).



ORODHA ITAENDELEA AWAMU IJAYO ENDELEA KUFUATILIA SWAHILI HIP HOP FAMILY CLUB BLOG(stori na Mtafiti-0688-300081)




TANZANIA MAKE HIP HOP HISTORY PROFILE: AS FOLLOWS:

M.CING FREESTYLE BATTLE
Tanzania became a host to one of Hip hop’s biggest events in Africa called “SPRITE M.C AFRICA” under SPONSORSHIP of one the biggest TV Stations in Africa CHANNEL O and SPRITE, was held at chang’ombe TCC club grounds in DAR ES SALAAM. This helped unleash many young talents in 2007. 



 It was a freestyle battle that featured a lot of new artists on the underground seeking for recognition and mainstream’s attention. It can be remembered as a breakthrough to some but it is best said as it was a foundation to hip hop culture in Tanzania.




 Fainali ya mitindo-huru swahili-land(Tanzania) chang’ombe TCC Club imam akimchana rage kwenye Sprite M.C Africa.rage alitoka mshindi wa pambano hilo na kulekea jo’burg, Africa ya kusini kwa mashindano ya washindi wa nchi na nchi ambayo rage alitoka round ya kwanza.


 THE MESSAGE WAS HELPER TO THE HELPLESS,LIFE SAVIOR OF DYING

A helper to the helpless, life savior of the dying, a glimmer of hope to the hopeless all this can help describe what happened during that period of time. By giving momentum and pulse to a failing life support placed on the poor, it is within this time that witnessed a group of youth coming together to form a way they could earn themselves some sort of livelihood.
.
It is possible for any of these people to acquire the respect they deserve and need like any other human being most of all a chance to showcase their talent and lead a better life.



SPRITE FREESTYLE STREET BATTLE DANCE
It also introduced a free style dance called “ FREESTYLE STREET BATTLE DANCE “sponsored by CHANNEL O & SPRITE in 2008 at SLEEPWAY COMPLEX It’s also breed new dancers on the underground seeking for recognition and mainstream’s attention. It can also be remembered.

In 2009 there was a GRAFFITI event at the British Council a movement called WAPI! Every last Saturday of a month, many of individuals made a name and a living and gained respect through the event.

The African spears emerge the internal culture through the heart of all followers. 
 (stori na Mtafiti-0688-300081)



Tuesday, 1 May 2012

Nguli wa swahili hip hop family club Papaya akiwakilisha "I make shot" feat.Domokaya kaa chonjo album ipo njiani.

JIFUNZE KUHUSU SWAHILI HIP HOP NA USHAHIDI KATIKA RASILIMALI ZA TANZANIA


1.  HIP HOP AND ITS ELEMENTS
  
Hip hop has five elements that represent the culture as follows(hip hop inanguzo tano muhimu nazo ):
·         GRAFFITI-(sanaa za uchoraji macahata kutumia mikono)-  It includes graphics and artistic drawings on the walls, trees or moving objects like trains that have access for people to see. It is simply one of those ways that graffiti artist express themselves in terms of how they feel about pretty much anything.


·         DJ-(sanaa za kupiga midundo kwa mdomo au mikono) Known as the one who throws light to those in the crowd by cutting records to grab the people’s attention and reinforce the messages on the lyrics.


·         B-BOY-. (kufikisha ujumbe kwa kucheza)These are specifically known as break dancers that came up with their newly invented dance element that gets every part of their human body moving for healthy keeping

·         M.C-.(kilinge cha mitindo huru(freestyle) na majigambo kwa njia ya kughani)This element of the Hip hop culture complements every other element to form a whole new way of life known as Hip hop. This individual masters and adapts to any type of environment and gets hold of activities hosted for specific events.


·         STREET GEAR-(ni sanaa ya maonyesho ya mavazi) This part is the only witness to the undying evidence of success created by this new culture. As some would say that they have made a big transformation from,” crime to rhyme”.
 ARTE FACTS OF HIP HOP LIVING PROOF IN TANZANIA(SWAHILI-LAND) -VIGEZO VYA USHAHIDI WA KUWA SWAHIL HIP HOP NDIO INA HISTORIA NZIMA YA HIP HOP:
During the early days of old Tanganyika (TANZANIA) there was features that represent the hip hop elements, the five elements and proofs as follows:
                              
1.   GRAFFITI (sanaa za uchoraji macahata kutumia mikono)-unaweza kuona kwamba Swahili-land kulivyo na historia ya hii tamaduni yetu ,hivi ni vigezo tosha kwa wote kuwa hip hop ilianza Africa.
(The drawings of art at Amboni caves at Tanga. The artefacts indicates true element of hip-hop).
2.   M.C – kilinge cha mitindo huru(freestyle) na majigambo kwa njia ya kughani ,hasa utumia Masai .ni nguzo muhimu pia kwenye Swahili hip hop .
(Look at the Masai tribe creates a cypher (which means a round circle of strongmen) bragging about who is the strongest warrior in their community).
UM.C wa kale
3.   DJ(sanaa za kupiga midundo kwa mdomo na mikono) –kwenye sherehe zetu za tamaduni huwa haikamiliki bila ya midundo ya kutumia mdomo au mikono ina maana kutumika ngoma kama kiburudisho au kionjo mpigaji kuonyesha umahiri na ustadi ,pia hutumika kutoa taadhari ya jambo.
 (This is an individual playing the drum which promotes African) culture e.g. -Sindimba of Makonde tribe southern Tanzania.
4.   B-BOY (hii hutumika kufikisha ujumbe kwa kucheza na kutafoutisha baina ya kabila na kabila).
This is a person who dances to the vibe which is produced by the Drummer man. E.g. Digo Dancing Mdumange of Tanga.
5.   STREET GEAR (ni sanaa ya maonyesho ya mavazi na pia hutumika kutafoutisha baina ya kabila na kabila).
-The various traditional clothing so as to have a distinctive identity, this is wearing clothes in order to differentiate you from others .e g HEHE differ from CHAGA and POGOLO differ from LUGULU etc. 
 (stori na Mtafiti-0688-300081)